PDA

View Full Version : Mtwara itaendelea kuwa nyuma kimaendeleo daima



Griffindor
06-09-2009, 11:23 AM
Kama itume ya utumushi wa umma haitowajibika ipasavyo mkoa wa mtwara utaendelea kudora kwa kukosa watumishi wenye sifa.

Kuna watumishi ktk sekretaieti ya mkoa mtwara wamefanya kazi ktk sekretarieti ya mkoa mtwara kwa zaidi ya miaka 29 bila kuhama. Hii inapekea wazione ofisi hizi kama zao na kufanya watakavyo. Wanawa-frustrate vijana ili waendeleze ufisadi.