Griffindor
06-12-2009, 09:30 AM
Bajeti yetu 2009/2010. Kwa mtazamo wangu bado haileti unafuu kwa mwanachi wa chini.
Gharama ya maisha yaongezekeka mijini na vijijini.
Badiliko katika Sekta ya ukusanyaji kodi, TRA , Madini, yatasaidia kuinua pato la serikali.
Pia watanzania tubadilike tuache unafiki, udini na ukabila vinatufanya tuwe maskini daima.
Tunaacha kusema haki ndo maana kila siku twasikia rushwa za Mahakimu, Polisi, Hospitali lakini rushwa za Mabilioni za TRA pale bandarini hazisemwi, Wizi unaofanywa wa kupitisha mafuta bila ushuru hausemwi, na Wadau wanochimba madini Peramiho na wanasafirisha kama mkulima anavyotoa mahindi ktk shamba lake na kwenda nayo nyumbani kwake hayasemwi haya.
Tukiacha unafiki tulonao pato la taifa litaongezeka, uchumi utanawiri, na kwa bajeti yetu hali ya maisha ya mwanachi itakuwa ya wastani toka kwenye choka mbaya.