PDA

View Full Version : Bajeti 2009: Tunazugwa tena?

mwanakijiji
06-12-2009, 09:26 AM
http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/other/toleola42.jpg

Ach-F
06-12-2009, 10:16 PM
Jakaya Kikwete anamaliza miaka mitano. Je ni nini anaweza kusema ameweza kutimiza katika ahadi zake? Hakuna hata moja. Anastahili sifa na pongezi kwa kuwalinda mafisadi papa na kuwafunga wezi wa kuku, akiambiwa huyu fisadi papa anakuwa kama jibwa libwakalo mchana lakini kiza kikiingia linafyata mkia.

WTZ wamepoteza miaka mitano ambayo itakua ni mara 70 kwa kumwendekeza.

Nsaji Mpoki
06-18-2009, 12:21 PM

Nafikiri sisi Watanzania tuna matatizo,maana utawala wa Aman Karume ulifaa uwe ndio reference yetu ya kuchagua kiongozi asiye na vision.Lakini katika hali ya kusikitisha hilo hatukujifunza na sisi tukarejea makosa yaleyale ya kumkataa Dr Salim na kumchagua JK na kumuona ni bora zaidi.Kibaya zaidi tunachagua viongozi wa aina hii,huku katiba yetu ikiwa na mapungufu makubwa.Nguvu za Urais zilivyo katika katiba ya sasa,Rais asiyekuwa na nia njema na nchi anaweza akachagua kuilipua na ikwa sawasawa tu!