PDA

View Full Version : News Alert: Seminari Kipalala wavamiwa - in progress!!



Ach-F
06-14-2009, 11:59 PM
Habari zinaingia kutaarifu kuwa seminari kuu ya Kipalala mkoani Tabora saa hii wamevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na tukio linaendelea wakati vikosi vya Polisi vinaelekea huko. Uvamizi huo umetokea muda mfupi uliopita na mmoja wa mapadre ambaye amejificha mahali amefanikiwa kutuma ujumbe wa SOS kutaarifu juu ya uvamizi huo.

Situation is still fluid and resources za KLHN zina monitor the situation..!! Hadi hivi sasa hatujui madhara au uharibifu uliofanyika.[/B]

Ujambazi huu utaendelea hadi lini hasa katika ukanda wa ziwa.

mwanakijiji
06-15-2009, 12:02 AM
Kwa jinsi ambavyo nimeipokea hii kuna mengi nyuma ya hili. Tusubiri kusikia. Sijui kama kuna madhara..

Mpita Njia
06-16-2009, 11:16 AM
any updates?

mwanakijiji
06-17-2009, 08:46 AM
duh.. niko nje ya kijiji kwa muda hata sikuweza kufuatilia... MN, unaweza kucheck na Mkuu wa Polisi Tabora..