John
06-17-2009, 08:12 AM
Napenda kutoa dukuduku langu kwani kwa muda mrefu sana sijapata muda wa kueleza yale yanayonigusa hasa kuhusiana na ma swala ya siasa ya Tanzania na pengine kilicho nisukuma nitoe maelezo haya ni kutokana na bajeti aliyoisoma Mkullo.
Kama mnavyojua ndugu watanzania Serikali ya Tz haina suala jipya hata siku moja na bila mapinduzi ya haraka tunakoelekea ni gizani kama si kwenye tanuru la moto.Ninasema hivyo kwa kuwa nimeisikiliza kwa umakini sana bajeti ya mwaka 2009/2010 na kugundua kwamba ni utapeli na usanii, ninasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-
1. Bajeti ya kilimo ni zaidi ya billion 600 hivyo ukiangalia kwa harakaharaka utagundua kwamba hakuna program zilizo bainishwa wazi kuonyesha matumizi ya pesa hizo yatatumikaje.Wasiwasi wangu ni kwamba fedha nyingi zitatumika kwa ajili ya semina,washa makongamano na reseach mambo ambayo ndio hufanyika kila mwaka mpya wa fedha.
2. Bajeti zote mawaziri wanatamka figure tu, bila kuweka wazi mchanganua wa matumizi y pesa hizo.Hivyo ni dhahiri kwamba Serikali ya CCM ni ya KISANII na hina jipya ni kawaida yake kuwa na bajeti yenye mbwembwe na porojo nyingi zisizotekelezeka.
Kwa leo naomba ni ishie hapo nikipata muda nitaeleza mengi zaidi.