Ng'wana Diyu
06-25-2009, 05:24 PM
Ndugu wanakijij, naomba mwongozo wa speaker! Serikali ya JK imetumia chini ya miezi mitatu kumkama Mzee wa the Utamu lakini bado inasua sua kuwakamata wamiliki wa Kagoda, kuwachukulia hatua watendaji wake waliokuwa implicated kwenye repoti ya Mwakyembe, wakurugenzi wa halmashauri za wilaya zinazopata hati chafu za ukaguzi kila mwaka. Je tuwaamini wanapotuambia wanapambana na ufisadi?? Mimi naogopa kusema "priority" ya serikali ya CCM siyo kuwasaidia wananchi wa kawaida kuondokana na umasikini bali kulinda masilahi ya wachache, nitatoa baadhi ya mifano:
- Warembo wangapi wameandikwa kwenye magazeti ya udaku bila hatua mahsusi kuchukuliwa?
- Mengi alipomtaja RA hadharani kuwa ni fisadi, serikali yote imemshukia bila kuchukua hatua ya kuzichunguza tuhuma hizo. Leo hii mtaani kwetu wakikutuhum wewe ni kibaka au unanunua miguu ya albino utanyea debe lazima. Je ni wangapi wamepoteza maisha yao kutokana na vitendo vya ufisadi??