View Full Version : Mwanakijiji hoyee!!!!!!!!!!
Nashukuru mwanakijiji kwa kutufunua na kutupa upeo wa vitu vingi vilivyojificha haswa zinazohusu watawala wetu.Ahsanteni sana.:D:D:D
mwanakijiji
07-01-2009, 09:51 PM
Karibu sana!!!!
kanuya
07-31-2009, 12:42 PM
Mwanakijiji umefanya vitu vizuri ambavyo kwa sisi wananchi wa kawaida tusingekuwa na uwezo wa kuvipata!!!! mfano mikataba kama ya RICHMOND na uchafu mwingine wa watawala wetu.
Hongera sana na endelea kutupa uozo mwingine zaidi kwa kuwa eti tunaambwa kwamba mikataba ni siri ya serikali wakati sisi wananchi ndio tuliowaweka madarakani. Hii inaonesha kwamba wao wanataka kuiba zaidi na kuweka usiri ambao hatutaweza kuona UFIDHULI waliofanya juu ya rasilimali na mali za umma.
BIG UP
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.