PDA

View Full Version : Wabunge wetu na siri za kijinga!



mwanakijiji
07-01-2009, 08:56 PM
I'm really tempted to go all the way; but I won't do this time. Not worthy it. Kama wabunge waliochaguliwa na wananchi wanaogopa na hawako tayari kwanini wengine tujihangaishe? The connections between the four elements in the subject line are scary at least and deadly at most! (literally!)

We have surrendered out sovereignty as a nation to a corrupt regime, a regime that has abused power and defendend those who have abused power in so many ways and in so many times. A regime that will not on its own reverse course and return our nation to "we the people". A regime that will not tolerate a democratic challenge nor create an environment where such a challenge could take place.

The Meremeta issue if pursued to the fullest extent of possibilities will unveil a clear and obvious failure in leadership and would result to criminal charged to be leveled against the following:

- Ex President Benjamin Mkapa
- EX Attorney General Andrew Chenge
- EX Chief of Defence Forces Robert Mboma
- Ex Secretary of the Defence Department Vincent Mrisho
- and others who at the moment I choose to hold them in pectore! The people connecting Victor B. and some corrupt government officials in the Tanzanian Government!

I really would have dared to venture where no MP has dared to.. lakini hilo lingenifanya nifanye kile kinachotakiwa kufanywa nao. Kwa vile wawakilishi wetu wamekubali kupumbazwa na maneno ya kiwoga, then hivyo ndivyo taifa letu liongozwe.

Clue: Kwanini serikali ilireact kwa ukali sana kuhusu filamu ya "mapanki"?

answer: tafuta ripoti yangu ya "Tracing Reports" ya mwaka 2006 iliyopo somewhere here!

Dua
07-01-2009, 11:32 PM
Lakini Chukua Chako Mapema alisema tangu zamani kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Hakuna lolote ambalo litabadilika hadi pale walipa kodi watakapoamua kuwaondoa madarakani. Nidhamu ya woga, wanashindwa na watoto wa shule wanaoweza kuandamana na kupinga ufedhuli wa hii serikali. Time will tell unakumbuka Bokasa yaliyompata?

edo
07-10-2009, 12:29 PM
Kazi ni ngumu kweli kweli juu ya hili.Lakini tunarudi kule kule kwenye roho za watanzania walio wengi (ikiwa ni pamoja na wabunge wetu), Ubinafsi.Hawataki kuhoji kwa sababu ya ubinafsi wao kwa maana kwamba wanatetea nafasi zao.Eeh Mungu isaidie Tanzania katika hili!!

mwanakijiji
07-10-2009, 07:10 PM
Kazi ni ngumu kweli kweli juu ya hili.Lakini tunarudi kule kule kwenye roho za watanzania walio wengi (ikiwa ni pamoja na wabunge wetu), Ubinafsi.Hawataki kuhoji kwa sababu ya ubinafsi wao kwa maana kwamba wanatetea nafasi zao.Eeh Mungu isaidie Tanzania katika hili!!

Wanachoogopa ni nini hasa?

edo
07-19-2009, 10:44 AM
Mwanakijiji, kinachoangaliwa na watu hawa si utanzania bali ni u-CCM.Kuhoji kuhusu meremeta ni kuhoji juu ya maovu yaliyofanywa na baadhi ya wana-CCM na/au watu wa karibu na chama hicho na kwa maana hiyo si manufaa kwa chama chao japokuwa ni kitu cha manufaa kwa watanzania.Kumbuka pia kwamba watu hawa wanahitaji kurudi bungeni mwakani wakati wa uchaguzi na watafanya hivyo kupitia chama hicho hicho.

Kuhoji kuhusu meremeta ni sawa na kuhoji kuhusu utendaji wa serikali ya chama chao na wakikipaka matope chama ni kukikosesha ushindi mwakani.Wakikitosa na kuhoji nacho kitawatosa mwakani.

curtis
11-13-2009, 04:42 PM
Hii nchi inahitaji mapinduzi ya kifikra, si vinginevyo, maana kama ni sheria za kinga wameziweka wenyewe! Kuwahukumu kwa sheria hizo hizo ni kazi sio kidogo!