Ach-F
07-12-2009, 01:22 AM
Dr. Dau achukuliwe hatua na kushtakiwa
NSSF na Dr. Dau wachukuliwe hatua na kushitakiwa kwa kushindwa kufanya 'risk Assessment' and 'preventive measures' kwa kusababisha watoto kadhaa kufa na moto - Tabora. Shirika la NSSF ambalo limekabidhiwa wadhifa mkubwa wa kuona pesa za wafanyakazi zinawekwa kwenye vitega uchumi ambavyo vinaongeza pato la wafanyakazi wanapostaafu.
Inasikitisha kuona kwamba watoto wadogo wanakufa kwa uzembe ambao ni wa kujitakia. Je, ni lini tutaweza kuwashitaki watuhumiwa hawa? Kesi ambayo itawakabili i.e shirika, Dr. Dau ni 'corporate manslaughter' (Duty holders kama Dr. Dau are equally liable to prosecution).
Hatuhitaji vifo vingine na NSSF na uongozi wake chini ya DR. Dau wachunguzwe na independent committe kuona kwamba miradi yao yote iko above the law governing all statute laws whether in building or entering in any other joint ventures.