View Full Version : Mgeni fika mwenyeji aumie..!!
fundiaminy
07-28-2009, 02:42 PM
Mhhh.samahani kwa kiuka msemo.kweli ni mgeni nimeingia na wenyeji mnaotarajia mtapona poleni kwani mi mwenyewe choka mbaya.sasa ni vipi?natumai mtanishibisha na vitamu vyote vya kijijini kwani mjini nlikotoka njaa tupu.!!
mwanakijiji
07-28-2009, 07:18 PM
Karibu kabisa na ujisikie uko salama kijijini hapa ni wote tutapona!
fundiaminy
07-28-2009, 08:18 PM
QUOTE=mwanakijiji;]Karibu kabisa na ujisikie uko salama kijijini hapa ni wote tutapona!Akhsante sana mkuu naona dalili sio mbaya..ha ha ha.
mwanakijiji
07-28-2009, 09:01 PM
bila ya shaka.. yote ni mema unajua kijijini yote ni mazuri tu hakuna purukshani za mijini!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.