View Full Version : Utambulisho
AMBANI
07-29-2009, 05:04 PM
Hodi wajameni, ninajitambulisha rasmi kuingia humu jukwaani, ili nami niwezepata habari moto moto, na hata kutuma habari humu (AMBANi
mwanakijiji
07-29-2009, 07:42 PM
Hodi wajameni, ninajitambulisha rasmi kuingia humu jukwaani, ili nami niwezepata habari moto moto, na hata kutuma habari humu (AMBANi
karibu kabisa ambani; kwenye kijiji chetu!
kimori
08-05-2009, 03:29 PM
Hodi hod nami naingia
Wakami
08-05-2009, 05:23 PM
Hodi hodi jamani na mimi nipokeeni, nimeingia jana tu,laiti Wadanganyika wote wangeweza kuwa na access ya enternet wakajua kinachoendelea duniani,mmh zamani kidogo kulikuwana msemo kuwa "Kumbe kutokuwa na habari ni sawa na kuwa kaburini'" Mmmh ni mengi sana abayo nilikuwa sijui!Asanteni sana wanafamiliya wote wa Mwanakijij.com!
mwanakijiji
08-05-2009, 07:51 PM
Wakami na wewe unakaribishwa kabisa kwa mikono miwili na kwa furaha.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.