PDA

View Full Version : Wabunge nendeni Buhemba!



mwanakijiji
07-30-2009, 09:27 AM
Naomba timu ya wabunge ifanye matembezi kule Buhemba wakiambatana na waandishi wa habari na wapiga picha!

mugerezi
07-31-2009, 01:35 PM
Hawa wabunge wetu ni watu wa kulala tu. Siyo wachunguzi yaani wao wanajali matumbo yao. Unaposikia kitu fulani ambacho si kizuri inatakiwa atleast basi pita hayo maeneo ili ujionee kwa nje kinachoendelea kabla ya kuingia ndani. I support you on that. Mfano kule Mara jamaa muda mrefu walikuwa wakilalamika plus wabunge wa eneo lile walipiga kelele lakini hakuna hata mmoja aliyeenda kule. Mmaboy yamefika shingoni ndiyo eti wanaenda inabidi tuwe habit ya kuchunguza mambo si kungoja mpaka mambo yaharibike