PDA

View Full Version : Hodi hodi



kyatsvapi
07-30-2009, 11:57 PM
Ni jambo la busara na la kiungwana; uwakutapo wanakijiji wamekusanyika wakiwa wanatafakari na kutafakuri masuala mbalimbali yahusuyo jamii, kuwasabahi ili wao watambue uwepo wako na kuona kama ni kwa namna gani unaweza kuwa miongoni mwao. Nami kwa taadhima kubwa kabisa, naomba wanakijiji wote, mtambue uwepo wangu na natangaza rasmi kuwa maisha yangu sasa ni ya kijijini.
Kijijini saaaaafi!:

mwanakijiji
07-31-2009, 12:10 AM
Karibu kabisa hadi sebuleni!! togwa, soda, chimpumu au ulanzi?