View Full Version : Program Alert: Mjadala wa ripoti on StarTV-Sunday
mwanakijiji
08-01-2009, 07:57 AM
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
Safi sana hii. Lazima walipa kodi waelezwe ni akina nani wanatafuna pesa yao tena bila aibu. Mwanakijiji unafahamu nani watakuwa panelist?
mwanakijiji
08-01-2009, 08:13 PM
Safi sana hii. Lazima walipa kodi waelezwe ni akina nani wanatafuna pesa yao tena bila aibu. Mwanakijiji unafahamu nani watakuwa panelist?
sasa hivi sijui; ila nitakuwepo na nina uhakika watakuwa na watu wengine labda toka serikalini au vyama vya siasa.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.