View Full Version : Ripoti ya Richmond
Augustine
08-01-2009, 02:49 PM
Mambo wanakijiji wote?
Mmesikia hoja ya Dr Slaa kuhusu ripoti ya kamati ya bunge juu ya watuhumiwa wa richmond?
Je ni kweli kikatiba serikali inapaswa kujitoa madarakani?
Wanakijiji tunashida kweli na hawa wanaoongoza nchi hii. Wanatufanya mazoba. Tuwaonyeshe sisi tunanguvu zaidi yao. Tuseme NO 2010 kwa wote waliona madoa.
Comte

Karibu sana kijijini. Tanzania pamoja na kuwa na wasomi wengi ambao tungeweza kabisa kuwa dira ya mataifa mengine katika nyanja mbali mbali tumepoteza dira na kuwa kichekesho kwa mabeberu ambao walikuwa wanawinda rasilimali zetu kwa muda mrefu sana . Kutokana na uongozi lege lege wa Chukua Chako Mapema . Tumeshindwa kukemea na kukaripia maovu sio nyumbani tu hata kwa majirani zetu na sasa matunda tunayaona ambayo ni colapse of the system. Je sisi tunaofahamu kwa undani wapi tulikotokea tupo tayari kuwa taa ya mageuzi? Wanakijiji tusikate tamaa ni lazima tuirudishe Tanzania kwa walipa kodi wake halali.
matambo
08-01-2009, 06:34 PM
Kweli serikali yetu inachezea Wadanganyika. Nadhani inabidi tufike mahali tukatae kuwa Wadanganyika bali Watanzania. Haiwezekani watu wanalindana kwa mambo ambayo yako waziwazi ya Richmond. Inabidi tubadilike Watanzania. Nadhani Bunge likaze kamba tu vinginevyo watu tuingie uringoni tupambane na mafisadi.:o
Wanakijiji mwasemaje?
mwanakijiji
08-02-2009, 12:03 AM
Mambo wanakijiji wote?
Mmesikia hoja ya Dr Slaa kuhusu ripoti ya kamati ya bunge juu ya watuhumiwa wa richmond?
Je ni kweli kikatiba serikali inapaswa kujitoa madarakani?
Wanakijiji tunashida kweli na hawa wanaoongoza nchi hii. Wanatufanya mazoba. Tuwaonyeshe sisi tunanguvu zaidi yao. Tuseme NO 2010 kwa wote waliona madoa.
Comte
sijaisikia hoja yake; anasemaje kwani? maana leo mitambo kila mahali imepata kwashakoo!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.