PDA

View Full Version : Kujitambulisha



makoye
08-05-2009, 05:42 PM
Pamoja na ugeni wangu, sina wasiwasi nita coop tu. hongera sana Mwanakijiji kwa kazi yenu nzuri kabisa katika dunia ya sasa.
Makoye

mwanakijiji
08-05-2009, 07:49 PM
Karibu kabisa kijijini kwetu ujiunge nasi !!