PDA

View Full Version : nipokeeni wazalendo wenzangu jamani

SamGhaddaffi
08-05-2009, 10:07 PM
hiki kijiji jamani kwa kweli ni kizuri..hata mandhari yake ya uwazi na ukweli imenifanya niamue kuhamia moja kwa moja na si kupangisha..natumaini mmenipata wazalendo wenzangu

Ach-F
08-06-2009, 01:50 AM
hiki kijiji jamani kwa kweli ni kizuri..hata mandhari yake ya uwazi na ukweli imenifanya niamue kuhamia moja kwa moja na si kupangisha..natumaini mmenipata wazalendo wenzangu

Karibu sana, hiki kijiji ardhi ipo kubwa tu tena huna haja ya kulipa kwa mafisadi.

mwanakijiji
08-06-2009, 05:29 PM
hiki kijiji jamani kwa kweli ni kizuri..hata mandhari yake ya uwazi na ukweli imenifanya niamue kuhamia moja kwa moja na si kupangisha..natumaini mmenipata wazalendo wenzangu

Karibu kabisa tena kwa mikono miwili na tunaona fahari kuungana nasi.

Akajase
08-06-2009, 08:51 PM
hiki kijiji jamani kwa kweli ni kizuri..hata mandhari yake ya uwazi na ukweli imenifanya niamue kuhamia moja kwa moja na si kupangisha..natumaini mmenipata wazalendo wenzangu

Karibu tena karibu sana.....lakini kuhusu uzalendo sina uhakika kama wewe ni mzalendo au la karibu tuishi sote ndipo tutakapo kutambua kuwa u mzalendo au mpunguza mwendo.

Tunawajua kwa matunda yao.

SamGhaddaffi
08-06-2009, 09:22 PM
ok nshakaribia kijijini tayari kwa kupambanua na kuchaanua mijadala mbalimbali itakayojiri..lkn nnaswali..kipi kipimo cha uzalendo

mwanakijiji
08-07-2009, 05:07 PM
Akajase.. .unajua kila nikisoma jina lako namkumbuka "Akajase Mbamba"!!