View Full Version : Breaking News: Manji awashtaki Dr. Slaa na Zitto
mwanakijiji
11-16-2008, 07:46 PM
Habari ambazo zimeingia muda si mrefu zinasema kuwa Mkurugenzi wa Makampuni ya Quality Group amefungua mashtaka dhidi ya viongozi wakuu wa Chadema Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) na Mhe. Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) kwa kile ambacho amedai kuwa ni kumdhalilisha mbele ya jamii kufuatia kauli za viongozi wao baada ya Bw. Manji kualikwa kwenye mkutano mmoja wa biashara. Habari zaidi baadaye
Ach-F
11-16-2008, 11:30 PM
He can go to hell. Kichaa chake alichokwenda kutibiwa kimepona?

Nani alikwambia kichaa cha kutibiwa huwa kinapona??? Labda kimetulia tusubiri mwezi ukiingia giza...!!!
Habari ambazo zimeingia muda si mrefu zinasema kuwa Mkurugenzi wa Makampuni ya Quality Group amefungua mashtaka dhidi ya viongozi wakuu wa Chadema Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) na Mhe. Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) kwa kile ambacho amedai kuwa ni kumdhalilisha mbele ya jamii kufuatia kauli za viongozi wao baada ya Bw. Manji kualikwa kwenye mkutano mmoja wa biashara. Habari zaidi baadaye
Vipi habari zaidi zinasemaje?? bado??
mwanakijiji
11-17-2008, 09:45 AM
details zaidi tutapata baadadye leo..
Mpita Njia
11-17-2008, 12:41 PM
Habari ambazo zimeingia muda si mrefu zinasema kuwa Mkurugenzi wa Makampuni ya Quality Group amefungua mashtaka dhidi ya viongozi wakuu wa Chadema Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) na Mhe. Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) kwa kile ambacho amedai kuwa ni kumdhalilisha mbele ya jamii kufuatia kauli za viongozi wao baada ya Bw. Manji kualikwa kwenye mkutano mmoja wa biashara. Habari zaidi baadaye
Kama amedhalilishwa, kwa nini aliamua kuondoa jina lake? Still waiting for more info
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.