PDA

View Full Version : Uhusiano wa raiamwema na mwanakijiji

Milindi
08-31-2009, 11:23 AM
Nashukuru sana kwa hawa raia mwema kwa jinsi wanavyofanya sasa hivi maana wamenikumbusha forum ambayo nilikua nimeanza kisahau yaani mwanakijiji.Yaani nilipoandika address ya raimwema ghafla ikabadilika yenyewe na kuwa mwanakijiji.nikarudia zaidi ya mara tatu napelekwa hukohuko basi ikabidi niendelee kuangalia kilichoma ambazo ni habari nyingi zinazohusu kijiji hiki kidogo nimefurahi sana.Hivyo nawaomba muendelee kutuunganisha hata kama tume-type address nyingine lakini tupelekeni kijijini.
Aksanteni

Dua
08-31-2009, 02:55 PM

Mbona mimi hawanipeleki huko unakosema tuwekee url hapa mkuu.

Milindi
09-01-2009, 03:32 PM
www.raiamwema.com

jmwakajila
11-02-2009, 05:04 PM
vipi mpo kikjiji,wakubwa

Ach-F
11-02-2009, 08:45 PM
vipi mpo kikjiji,wakubwa

Karibu lete maneno.

Mpita Njia
04-02-2010, 05:53 PM
www.raiamwema.com
Lakini hili la hii url halijatolewa ufafanuzi... na mimi nimejaribu naona inakwnda hivyohivyo, kulikoni?

mwanakijiji
04-02-2010, 06:32 PM
labda mtu kaamua kutikirimia! miye ndio naona leo.. ila anuani ya Raia Mwema ni Raiamwema.co.tz

Mpita Njia
04-05-2010, 12:14 PM
labda mtu kaamua kutikirimia! miye ndio naona leo

Au labda kuhujumu!

mwanakijiji
04-05-2010, 05:03 PM
sawasawa mpita njia.. hata kuhujumu vile vile.. maana haya mambo tena..

Dua
04-05-2010, 05:47 PM
www.raiamwema.com

Kha kha khaaaaaaaaaaaaaaa Naona kazi ipo hapo wataalam wa C++ etc.