PDA

View Full Version : mwanazuoni mkongwe nimewasili kijijini



Ricardo Roche
09-02-2009, 03:23 PM
kwanza habarini sana wanakijiji wenzangu. naimani kijiji hiki anapokelewa kila raia mwema anayependa kuhamia nami nipokeeni. hakika kichwa changu kina hazina kubwa ya busara iliyo kifani ambayo ilinishughulisha kutafuta kijiji kenye watu wenye akili safi tunaoweza kujadiliana mambo na kuifundisha jamii iliyopumbazwa. hakika tutajadiliana mengi. ngoja nivute kiti nikae

mig24
09-02-2009, 03:37 PM
haya mwana karibu sana. manake huwa hamchelewi kujikaribisha wenyewe

flein
09-04-2009, 06:11 PM
Safi sana mwanazuoni karibu sana tunataka hizo busara zako, karibu kijijini

mwanakijiji
09-05-2009, 10:30 PM
Karibu mwanazuoni mkongwe..!!