View Full Version : Mpiganaji
malarn
09-04-2009, 06:50 PM
Kwa mwenyekiti wa kijiji, ningependa kujitambulisha na kuwa mmoja wa wapambanaji katika kijiji chetu hiki cha maendeleo.
Max Shimba
12-25-2009, 11:39 PM
Karibu mkuu,
mwanakijiji
12-27-2009, 06:06 AM
Karibu sana kwani mapambano yanaingia gia nyingine mwaka huu mpya; I'm really looking forward to this..
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.