Mama Askofu
09-07-2009, 11:41 AM
Heshima Mbele Wakuu
Naomba mnisaidie jibu!!
Hivi karibuni nimesimuliwa na Jirani yangu kuwa mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka kati ya 12 au 13 hivi, alirushiwa maruhani (majini) kama waswahili wanavyosema. Huyo mama anasema hayo Maruhani au Majini recently yakacharuka yanataka kuondoka na huyo mtoto.
Mama mtoto ni Mkatoliki mzuri tu, akaanzisha maombi. Anadai kuwa hayo madude yakasema yalikotoka na kuwa yametumwa na Mama mwingine (ambaye anaishi in the neighbourhood)
Sasa, According to huyo jirani yangu, Huyo Mtoto wake alikuwa anatumiwa na huyo mama kupita kwenye nyumba zingine usiku kukusanya watoto wengine, ages from 1 year kisha anaenda kuwatumikisha kama kukusanya kuni, kusomba pumba, kusomba maji kwenye vidumu vya lita tano na kuokota mavi (ambayo wanadai huyo Mama anayedaiwa ni mchawi anatumia kama one of ingredients za kupikia Vitumbua, Bajia na Kalimati).
Nilipowauliza majirani wengine, wanadai kuwa watoto wao wamekuwa na tendency ya kuweweseka usiku na hata wakiwa mashuleni wanapewa ripoti kuwa watoto wao wanalala sana wakiwa shuleni, kitu wanachodai kuwa waalimu wanadhani watoto wanacheleweshwa kulala.
Wengine wanadai kuwa watoto wao wamekuwa wakiugua mafua na kikohozi kisichopona mpaka wengine wanadai kuwa wameenda kucheki kama watoto wao wana asthma, lakini cha kushangaza ni kuwa majority ya watoto in the neighbourhood wana hicho kifua na mafua yasiyopona, je kama ni vumbi mbona wakubwa hawaugui?
Tafadhalini nielimisheni kuhusu hii "elimu dunia".... Ni kweli Uchawi Upo?
Respect.... Nawasilisha