Jana Mkaguzi Mkuu Bw. Ludovick Utouh amewasilisha kwa Bunge ripoti zake za Ukaguzi kwa mwaka 2008/2009 (the most recent). Tafadhali pitia labda utapata mwanga na sababu ya kutowachagua tena watawala waliopo sasa kwani hawana dalili ya kubadilika, hawawezi kubadilika, na hata watakaposema wamebadilika ujue kuwa hawajabadilika.


Reply With Quote
Bookmarks