+ Reply to Thread
Results 1 to 8 of 8

Thread: Ushauri - Utatuzi wa Dollarization

  1. #1
    Join Date
    Jan 2009
    Posts
    12

    Default Ushauri - Utatuzi wa Dollarization

    Serikali isipoangaliza hili tatizo la dollarization kwa umakini, itafika kipindi tutalazimishwa kununua mahitaji muhimu kama chakula na mafuta kwa $.

    Ok pengine kutokana na soko huru, haitakuwa fair kukataza matumizi ya Dollar kwenye biashara moja kwa moja. Lakini nina uhakika Serikali (kama ina nia njema) inaweza kuthibiti matumizi ya hii currency.

    Serikali inangefaa ibainishe biashara ambazo zinaweza kutumia $ au Tshs., na biashara ambazo ni lazima ziendeshwe kwa Tshs. Tu. Halafu iweke sheria ambayo itawapa faini kali wafanyabiashara wote ambao watalazimisha matumizi ya $ kwenye biashara za Tshs. only.

    Njia rahisi ni kuzi-list biashara zote ambazo zitaruhusiwa utumiaji wa Dollar. Biashara zote ambazo haziko kwenye hii list zitapaswa kuendeshwa kwa Tshs. tu.

    List ya biashara ambazo zinaweza kuhalishiwa utumiaji wa $
    - Hotels zenye viwango vya kimataifa.
    - Tourism
    - Housing - zile zenye viwango vya kukidhi wawekezaji/wageni tu. Wamiliki wanaweza kulazimishwa kuomba kibali cha utumiaji wa $. Na kibali kitatolewa baada ya ukaguzi na thamani ya nyumba hizo utakafanikishwa na wahusika.

    PS: apartments na space za biashara zinatakiwa kukodishwa kwa Tshs.

  2. #2
    Join Date
    Dec 2008
    Location
    Home
    Posts
    84

    Default

    Quote Originally Posted by Quemu View Post

    Mimi naona bora biashara zote ziwekewe sharti la kupokea TZS. Kisha zile zinazotaka kutumia dola ziruhusiwe ila kwa sharti kuwa TZS pia wazipokee .

  3. #3
    Join Date
    Jan 2009
    Posts
    12

    Default

    Quote Originally Posted by outlier View Post
    Mimi naona bora biashara zote ziwekewe sharti la kupokea TZS. Kisha zile zinazotaka kutumia dola ziruhusiwe ila kwa sharti kuwa TZS pia wazipokee .
    Outlier,

    Hakuna biashara inayokataa upokeaji wa Tshs. Tatizo liko kwenye upangaji wa bei. Biashara nyingi zinazopokea $ zinapanga bei zao kwa kutumia $. Matokeo yake walipaji wa Tshs wanajikuta wanatumia kiasi tofauti tofauti kutokana na fluctuaction ya Exchange Rate kati ya $ na Tshs.

    Mfano, rent ikiwa ni $500, basi mwezi huu utalipa Tshs. 700,000 (500 x 1400). Mwezi ujao unaweza kujikuta unalipa 750,000 (500 x 1500) au zaidi.

    Mimi ushauri wangu, Serikali either ilazimishe bei kupangwa kwa Tshs. au ikataze biashara zinazolenga Watanzania moja kwa moja matumizi ya $ kama malipo.

  4. #4
    Join Date
    Dec 2008
    Location
    Home
    Posts
    84

    Default

    Quote Originally Posted by Quemu View Post
    Outlier,

    Hakuna biashara inayokataa upokeaji wa Tshs. Tatizo liko kwenye upangaji wa bei. Biashara nyingi zinazopokea $ zinapanga bei zao kwa kutumia $. Matokeo yake walipaji wa Tshs wanajikuta wanatumia kiasi tofauti tofauti kutokana na fluctuaction ya Exchange Rate kati ya $ na Tshs.

    Mfano, rent ikiwa ni $500, basi mwezi huu utalipa Tshs. 700,000 (500 x 1400). Mwezi ujao unaweza kujikuta unalipa 750,000 (500 x 1500) au zaidi.

    Mimi ushauri wangu, Serikali either ilazimishe bei kupangwa kwa Tshs. au ikataze biashara zinazolenga Watanzania moja kwa moja matumizi ya $ kama malipo.
    Powa, hapo nimekunyaka. Mimi nilidhani kuna bishara wanakataa kupokea "madafu". Kama tatizo ni hilo wazo lako linaweza kufaa. Lakini- vipi kama mwezi ukajikuta unalipa TZS 600,000 (500 x 1200) bado itakukwaza ama hapo bomba?

  5. #5
    Join Date
    Jan 2009
    Posts
    12

    Default

    Quote Originally Posted by outlier View Post
    Powa, hapo nimekunyaka. Mimi nilidhani kuna bishara wanakataa kupokea "madafu". Kama tatizo ni hilo wazo lako linaweza kufaa. Lakini- vipi kama mwezi ukajikuta unalipa TZS 600,000 (500 x 1200) bado itakukwaza ama hapo bomba?
    Well, dhumuni la ushauri wangu ni kufaidisha wote wafanyabiashara na wateja. Sasa kodi ya Tshs. 600,000 itakuwa poa kwa mpangaji lakini itamuumiza landlord; kama vile kodi ya 750,000 itakavyomuumiza mpangaji na kumfurahisha landlord. Sasa katika system ya dollarization iliyopo sasa hivi, mfanyabiashara ndiye pekee anayefaidika, na wakina yakhe tunaminywa mbavu.

    Serikali inaweza kuregulate hii unfair free market. Inaweza kabisa.

  6. #6
    Join Date
    Nov 2008
    Posts
    335

    Default

    Kwa kweli wengi tungependa kuona malipo katika biashara zote yanafanyika kwa shilingi. Na hili lingeweza kufanyika hata kwa wale ambao wanataka kupokea malipo kwa dola. Wangeweza wakapanmga bei yao kwa dola, wakafanya calculations kulingana na exchange rate na kujua mtu anatakwia kulipa sh ngapi. Lakini tatizo lingekuwa mabadiliko ya bei ya karibu kila siku kutokana na kubadilika wka thamani ya shilingi against $.

  7. #7
    Join Date
    Dec 2008
    Posts
    214

    Default

    Kumbe tuligombea uhuru wa nini kama bado kasumba iliyo kichwani mwetu bado ya kutukuza vya wenzetu? Hiyo dola haina thamani ni madeni tu. Tutakubali vipi karatasi ya dola iliyochapishwa ambayo haina thamani. Ndiyo yale yale ya kutukuza uzungu na lugha za wenzetu wakati tunadharau vya kwetu. Sioni sababu yoyote ya muhimu ya kutumia dola labda kama serikali ya CCM inaweza kusema kwamba wamebadili sheria.

    Tanzania hatuna sababu yoyote ya muhimu kutumia dola nchini mwetu kwa biashara yoyote na uwezo wa kuimiliki ungekuwa bora zaidi kuliko kufuata mkumbo wa kutumia dola. Wanaotaka kutumia dola wahamie marekani.
    Dua la kuku halimpati mwewe

  8. #8
    Join Date
    Nov 2008
    Location
    Bongoland
    Posts
    3,407

    Default

    Quote Originally Posted by MASATO MASATO
    , 27th July 2010 @ 12:00,

    THE government has warned that any business that trades locally on the US dollar will be prosecuted because the Tanzanian shilling remains the legal tendering currency. The Permanent Secretary in the Ministry of Finance and Economic Affairs Mr Ramadhan Kijjah called on the public to help expose people insisting payment in foreign currencies for local transactions. “The government will appreciate to get information that will help on the crackdown of those demanding dollars in local trading,” he told the 'Daily News' in an interview in Dar es Salaam. He, however, explained that it was not an offence to own foreign currencies in the country, “Those with dollars and wishing to pay in dollars or any other foreign currency can do so, but nobody should be forced to pay in foreign currency.”

    The deep depreciation of the Tanzanian shilling has recently sparked heated debate, with economists and financial analysts warning against the indiscriminate use of the dollar in local trading, saying the trend was exposing the nation to great economic risks. They asked the government to intervene before the situation got out of hand and plunge the economy into irreversible crisis. A weeklong 'Daily News' survey revealed that many Tanzanians were pegging prices in US dollars and demanded payment in dollars.

    Survey findings also revealed that people are asked to pay for air-tickets, school fees, hotel accommodation, automobiles, import duty and rent in US dollars. Those unwilling or unable to pay in US dollars are forced to cough up local currency, based on the seller’s exchange rate of choice. But, experts warn that with each seller of a product or service demanding the dollar or the shilling at an exchange rate of one’s own choice; translates into every Dick and Tom trading in money, the reserve of commercial banks and bureaux de change. The University of Dar es Salaam Business School’s lecturer, Dr Donath Olomi was early this week quoted as calling for the enforcement of the country’s financial regulations, that criminalise dollarisation of the economy.

    He said dollar-based pricing not only results into steep depreciation of the local currency and fans inflation, but also reflects loss of confidence in the country’s legal tender - the Tanzania shilling. Mr Anold Kilewo, a renowned figure in Tanzania’s business community, accused the government and the Central Bank in particular, for failure to enforce financial regulations. “The problem is that there is no control by the government and people will keep demanding dollars unnecessarily…this is not good at all for our economy,” he said. Many interviewees wondered on the country’s economic direction, worthiness of the local currency and the seriousness of leadership to contain the rapidly spreading dollarisation virus.

    Experts define dollarisation as an extreme situation of an economic instability in which a foreign currency - often the US dollar - replaces a country’s currency in performing basic functions of money. Former president of Tanzania Private Sector Foundation, Mr Elvis Musiba cautioned that “if this trend (of everybody yearning for the dollar) is left to prevail, it is likely to end up with adverse consequences for the national economy.” He urged those obsessed with the dollar to strive for exports of goods and services. Mr Musiba said Tanzania being a net importing country can ill afford to keep her currency exchange rates against hard currencies so high. The shilling has in recent days depreciated, reaching a record exchange rate of 1,530/- to one US dollar. And the ordinary man is the hardest-hit victim of the weak shilling because most of the basic essentials are imported with their prices subjected to the value of the dollar against the shilling.

    But the weak shilling is beneficial to few exporters and employees paid in US dollars. Analysts, however, caution that dollarisation in the country might prove difficult to curb because people who should have spearheaded the war against the excessive uses of dollars in the economy - high ranking government officials - are the direct beneficiaries of the weak shilling through travel allowances in foreign trips.

    An official with a Dar es Salaam based hotel doubted whether the common man has anywhere to complain for being charged in foreign currency because the government itself pays in dollars. “We do a lot of business with the government…we always invoice them in dollars and they pay,” he said
    Hili swala lilikuwa raised 2009 hapa kwenye jukwaa, serikali ya Jakaya Kikwete na CCM wamelifumbia macho na sasa wanachukua blanket asubuhi wakati kumekucha. AIBU!

+ Reply to Thread

Thread Information

Users Browsing this Thread

There are currently 1 users browsing this thread. (0 members and 1 guests)

Bookmarks

Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts